April 1, 2018

Download wimbo: Beautiful Jesus - Nancy Hebron ft Vanessa Mdee & Mimi Mars.

Ni siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo mpya kabia toka kwa mwanadada Nancy Hebron akiwa pamoja na wakali wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee pamoja na Mimi Mars, wimbo unaitwa Beautiful Jesus. Enjoy mtu wa Mungu.