April 1, 2018

Download wimbo: Ipo siku - Goodluck Gozbert.

Ni siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo mpya kabia toka kwa mmoja wa wakali wa muziki wa injili Tanzania Brother Goodluck Gozbert, wimbo unaitwa Ipo siku . Enjoy mtu wa Mungu.