April 1, 2018

Download wimbo: Makuu - Tumaini ft Martha Mwaipaja.

Habari zenu mabibi na mabwana! Siku ya leo tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya toka kwa Tumaini akiwa pamoja na Bi. Martha Mwaipaja, wimbo unaitwa Makuu.