April 1, 2018

Download wimbo mpya: Jehovah Elohim - Evelyn Wanjiru.

Mabibi na mabwana! Leo siku nyingine tena nasi tumepata fursa ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa Evelyn Wanjiru all the way from +254, wimbo unaitwa Jehovah Elohim.