April 1, 2018

Download wimbo Mpya: Pili pili - Willy Paul Ft Harmonize.

Habari! Leo tena tumekusogezea ngoma Mpya toka kwa star Gospel Music Kenya Mr. Willy Paul akiwa na Harmonize toka WCB. Wimbo unaitwa Pili Pili.