April 1, 2018

Download wimbo: Mwamba mwamba & Chiri msa msa - Solly Mahlangu.

Mwamba mwamba Yesu ndiye mwamba, Ni siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo mpya kabia toka kwa mmoja wa wakali wa muziki wa injili Brother Solly Mahlangu, wimbo unaitwa Mwamba Mwamba pamoja na Chiri Msa Msa. Enjoy mtu wa Mungu.