April 1, 2018

Download wimbo: Watangoja Sana - Annastacia Mukabwa.

Ni siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo mpya kabia toka kwa mmoja wa wakali wa muziki wa injili Bi. Annastacia Mukabwa, wimbo unaitwa Watangoja Sana. Enjoy mtu wa Mungu.