April 15, 2018

Je bikra inaweza kutoka bila maumivu?

Kama wewe ni bikra na unashindwa kutoa bikra yako sababu ya maumvu makali basi kuna mabo ya kufanya kuzuia maumivu hayo, kwanza nunua mafuta maalumu kwa jina la Ky gel ambazo hulainisha zaidi uke kuruhusu uume kupita, pia kuna dawa za ngozi za kupaka kwa jina la Lidocaine cream ambazo zikipakwa saa moja ndani ya uke kabla ya tendo hupunguza maumivu kwa kiasi kikubwa sana.