April 21, 2018

Namna ya kumtamanisha mmeo kufanya mapenzi

Leo nitatumia fursa hii kuandika machache yatakayomsaidia mwanamke kumfanya mmewe awe active mara nyingi, kumfanya mmeo atamani kufanya mapenzi nawe.

Njia muhimu za kumfanya mwanaume avutiwe kufanya mapenzi mara nyingi ni kama zifuatazo.


 • Mfanye Akufikirie Wewe
 • Ongea Naye Kimapenzi/Kimahaba
 • Lala naye ukiwa uchi. 
 • Mguse guse kichokozi
 • Muoneshe show yako binafsi
 • Jiongeze kama kinyonga (badilika)
 • Usiulize we fanya tu.
 • Ondokana na Hofu
 • Mbambatishe abambike
 • Muombe msamaha/ tubu
 • Jianike uwazi wako kwake
 • Mfahamishe wewe ni mzuri


Hizi ni baadhi ya vipengele vitakavyokuwa vikielezewa kwa kina ili kukunufaisha wewe msomaji wetu. Nitaanza kuelezea mada moja moja kwani zimechimbwa kiundani zaidi.

Msomaji wetu kama unaguswa na mada hii tuandikie maoni ni kipengele kipi nianze kukielezea kwa manufaa ya ndoa au mapenzi yako.