April 4, 2018

Umuhimu Wa Baadhi Ya Matunda Kwa Mwili Wa Binadamu


Umuhimu Wa Apple (Tufaha)

• Dawa Nzuri Ya Ugonjwa Wa Moyo
• Hushusha Kolestro
• Hushusha Shinikizo La Damu
• Huimarisha Kiwango Cha Sukari Katika Damu
• Huongeza Hamu Ya Kula
• Linakemikali Yenye Uwezo Wa Kuzuia Saratani
• Juisi Yake Inaua Virusi Vinavyoambukiza Magonjwa

Umuhimu Wa Banana (Ndizi Mbivu)

• Huzuia Na Kutibu Vidonda Vya Tumbo
• Hushusha Kolestrol Katika Damu

Umuhimu Wa Beans (Maharage Ya Aina Zote)

• Hupunguza Aina Mbaya Ya Mafuta Mwilini
• Hudhibiti Kemikali Mbaya Za Saratani
• Hudhibiti Kiwango Cha Sukari Kwenye Damu
• Hushusha Shinikizo La Damu
• Hurekebisha Mwenendo Wa Utumbo Mkubwa
• Huzuia Na Kutibu Ukosefu Wa Choo
• Huzuia Kutokwa Damu Kwenye Haja Kubwa (Haemorrhoids) Na Matatizo Mengine Ya Tumbo

Umuhimu Wa Cabbage (Kabichi)

• Hupunguza Hatari Ya Kupata Saratani, Hasa Ya Utumbo
• Huzuia Na Kutibu Vidonda Vya Tumbo (Hasa Juisi Yake)
• Huchangamsha Mfumo Wa Kinga Ya Mwili
• Huua Bakteria Na Virusi Mwilini
• Huharakisha Ukuaji Wa Mwili

Umuhimu Wa Carrot (Karoti)

• Inaaminika Kuzuia Saratani, Hasa Zitokanazo Na Uvutaji Sigara, Ikiwemo Saratani Ya Mapafu.
• Hushusha Kolestro Katika Damu
• Huzuia Ukosefu Wa Choo (Constipation)

Umuhimu Wa Coffee (Kahawa)

• Kahawa Si Kinywaji Cha Mtu Kupendasana Kutumia, Lakini Kinapotumiwa Kwa Kiasi Kidogo Na Kwa Tahadhari, Kina Faida Zake:
• Huboresha Utendaji Kazi Wa Ubongo
• Hutoa Ahueni Kwa Wagonjwa Wa Asma (Asthma)
• Hutoa Ahueni Kwa Wenye Homa
• Huongeza Nishati Ya Mwili
• Huzuia Meno Kuoza
• Ina Kemikali Ambayo Huzuia Saratani Kwa Wanyama
• Hutoa Uchangamfu

Umuhimu Wa Corn (Nafaka- Mahindi, Mchele, N.k)

• Zina Aina Fulani Ya Kemikali Ambazo Huzuia Saratani
• Hupunguza Hatari Ya Kupatwa Na Aina Fulani Za Saratani, Magonjwa Ya Moyo Na Kuoza Kwa Meno
• Mafuta Yake Hushusha Kolestro Mbaya Mwilini