April 8, 2018

Vyakula 10 vyenye virutubisho vingi zaidi.

Afya ni chakula na namna ya kuishi kwa ujumla. Wataalamu wanashauri kuwa vyakula vifuatavyo ndivyo vyenye virutubisho vingi zaidi mwilini.

10. Maparachichi


9. Mboga aina ya Kale


8. Viazi vitamu


7. Blueberrie


6. Almond (Jamii ya karanga)


5. Ma-apple


4. Samaki kibua


3. Oats


2. Kitunguu saumu1. Brocolli