May 23, 2018

Aina 10 za wanaume walioko katika ndoa

1. Bachelor Husband
Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake

2. Acidic Husband
Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele

3. Slave Husband 
Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu

4. General Husband 
Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo

5. Dry Husband 
Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje

6. Asprin Husband
Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo

7. Parasite Husband
Huyu ni tegemezi aka Marioo

8. Baby Husband 
Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe

9. Visiting Husband
Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu

10. Caring Husband 
Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo