May 20, 2018

Download wimbo: Bwana Mungu - Martha Mwaipaja

Baada ya kufanya vizuri na albam yake ya Naiona Kesho muimbaji wa nyimbo za injiri Tanzania Bi. Martha Mwaipaja ametuletea albam mpya kabisa ya Tenzi za Rohoni, Kuwa wa kwanza kupakua wimbo wa Bwana Mungu uliopo katika albam hiyo mpya ya Tenzi za rohoni.