May 10, 2018

Download wimbo: Tusikate Tamaa - Martha Mwaipaja

Karibu timheaven.com. Mungu ametupatia fursa ya kuiona siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo toka kwa mmoja wa wakali wa muziki wa injili Tanzania Bi. Martha Mwaipaja, wimbo unaitwa Tusikate Tamaa. Enjoy mtu wa Mungu.