May 15, 2018

Kujaa maji kwa mirija ya uzazi husababishwa na nini?

Kwa kiasi kikubwa wataalamu wanasema tatizo hil linatokea endapo mgonjwa aliwahi kuugua magonjwa yoyote  katika njia ya uzazi au magonjwa ya ngono, uvimbe kwenye kizazi kutokana na kukua kwa tishu laini za mfuko wa mimba.

Pia kama mgonjwa aliwahi kufanyiwa upasuajikwenye kizazi kwa kipindi cha nyumba na hivo kuacha majeraha kwenye mirija ya uzazi basi hupelekea kupata tatizo hili la Hydrosalpinx.

Endelea kusoma zaidi Makala yetu kupata ufahamu wa tatizo hili ambalo linaweza kuzuia mwanamke kupata ujauzito na hatimaye ugumba.