May 1, 2018

Madhara 12 yatakayokupata kwa kutofanya tendo la ndoa muda mrefu

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

1-Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,

2-kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

3-Kusahausahau,

4-Kupendelea story za mapenzi,

5-Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

6-Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

Soma hapa kujua zaidi >>> HAPA