May 19, 2018

Mishono bora na mipya ya vitenge kwa wanaume 2018.

Katika tamaduni zetu imezoeleka kwamba vazi la kitenge ni maarufu kwa wakinamama na wakina dada tu, lakini siku hizi mambo yamekwisha badilika kabisa tena vazi la kitenge huwafanya wanaume kupenda zaidi pengine kuliko wanawake.

Haya ndio mambo ya fashion, hii ni baadhi ya mishono bora zaida kwa wanaume, hakikisha unapata moja kati ya hizi ndio swagg ya town sasa!