May 5, 2018

Zifahamu siri nzito zilizopo ndani ya wanawake katika mahusiano.

Kuna wakati mwanamke ana weza kukosa amani kabisa katika mahusino , sio kwa sababu anakuwa amekosea kuingia katika mahusiano lakini ni kwa sababu ana mengi kichwani mwake ambapo hawezi kuyasema kwako mwanaume au kwa watu wake wa karibu.sio lazima aanze kulalamika ili uweze kumfanya mwenye furaha jambo la msingi ni kujua haya yafuatayo ambayo umfanya mwanamke awe mkimya na kushindwa kuyafurahia mahusiano yenu.Hizi ni siri  ambazo wanamwek ukaa nazo moyoni muda mwingi.

Uamiifu wako kwake.
Wanaume wengi wanawaza kuwa kumwambia kuwa mwanamke unampenda sana kunamaliza kila kitu katika mahusiano bila kujua kuwa unapoamua kumshirikisha maisha yako kunamfanya hakuamini zaidi.

Mfanye mpenzi wako akuamini na kuwa na uhuru na mambo yako kwa kiasi kikubwa cha hata kujiona yuko salama unapokuwa mbali nae kikazi au vitu vingine.

Mahitaji ya fedha,
kwa mwanamke anaekupenda na anataka kufika mbali na wewe anakuwa muoga sana katika swala la kukuomba ela,hata kama yuko na shida  hawezi kuwa mwepesi wa kutaja kuwa anataka ela, n hata kama anataka hawezi kusema kiwango cha juu kama ambavyo ingekuwa kwa mwanamke ambae yuko na mwanaume kwa sababu ya maslahi tu.

Tabia ya kuwa bubu.

wanawake wana tabia ya kukaa kimya hasa pale ambapo wanakuwa hawajafikishwa wanapopata wanapokuwa faragha, inaweza kuchukua hata mwaka na bado akashindwa kabisa kukukosoa kuhusu ilo, hivyo muda mwingie inabidi uwe mbunifu kujua na kumuuliza maswali ambayo yatamfanya na yeye afunguke kile kilichopo moyoni mwake,ni kweli wanawake ni wavumulivu lakini wanweza kuchoka kuvumilia hilo na wakajikuta wanajaribu na nje pia.

Uwazi wa mapenzi.
Ukubali au kukataa ukweli ni kwamba wanawake huwa wanapenda sana kulio wanaume, na mara nyingi mwanamke anapokuwa amempenda sana mwanaume basi hujikuta akitaka kuwa waiz kwa kla mtu na kuwa huru kila sehemu, kama kuna marafiki atahitaji wajue na kuwaonapamoja kila muda.ingawa hatokaa kukwambia swala hilo lakini endapo atataka kukufanyia hivyo na ukawa unamkwepa basi ataanza kuwa na wasiwasi moyoni.

Jinsi gani unamjali.
Wanawake wengi ni wagonjwa wa swala hilo, wanataka uwasikilize, uwe nao karibuni, anapotaka kitu lazima umsikilize na hata kama unataka kuikataa basi umpe neno la maana jepesi la kumjibu ili kuridhika na uhakikishe kuwa ameridhika.