June 4, 2018

Download wimbo: Jiwe - Ambwene Mwasongwe.

Ni siku mpya tena nasi tunayofuraha kukusogezea wimbo mpya kabisa toka Ambwene Mwasongwe, baada ya ukimya wa muda mrefu Ambwene ameachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Jiwe. Mungu akubariki mtu wa Mungu.