June 1, 2018

Download wimbo: Mungu halisi - Paul Clement

Ni siku mpya tena nasi tumekusogezea wimbo mpya kabia toka kwa mmoja wa wakali wa muziki wa injili Tanzania Brother Paul clement, wimbo unaitwa Mungu halisi. Enjoy mtu wa Mungu.