June 10, 2018

Maswali 12 bora ya kumuuliza mpenzi wako ili kunogesha mahusiano.

1. Ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya na kamwe huwezi kurudia tena kukifanya?

2. Ni tabia gani unayo inayo kukera hata wewe mwenyewe?

3. Rafiki yako mpenzi ni nani?

4. Katika maisha yako ni kitu gani unakiogopa sana?

6. Kumbu kumbu gani za utotoni huwa zinakufurahisha sana ukikumbuka?

7. Unapenda mpenzi wako awe na sifa gani?

8. Kitu gani unapenda kukitimiza kwanza kabla siku zako za kuishi duniani hazijaisha?

9. Umeshawahi kujiusisha na mapenzi ya jinsia moja au unatamani siku moja kuja kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja?

10. Endapo nikiamua kukubusu ni kitu gani kingine ungependa nikufanyie huku nikiwa nakubusu?

11. Sehemu gani ukiguswa unapata msisimko sana?

12. Kama tukikaa sehemu mimi na wewe tu ni kitu gani ungependa kunifanyia/ ungependa nikufanyie?