June 10, 2018

Namna ya kumtambua mwanamke mpumbavu

1. Anamkomoa mumewe

2. Analala mapema kabla ya mumewe

3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe

4. Mbishi, anahisi kuonewa mda wote.

5. Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa.

6. Mmekaa sebuleni anahadithia mafanikio ya familia za watu wengine tu, wakati ye ndo kigezo cha kero.

7. Hataki kuzungumzia mshara wake

8. We unajenga familia yeye anajenga kwao

9. Mkikaa pamoja tu anaanza umbea kuponda ndugu na majirani.

10. Haridhiki
Mwanaume unatoa jasho ila yeye anakudiscourage wakati yeye kazi yake kubwa ni ubuyu tu kwenye majamvi na saloon kupiga umbea kuhusu mama Seba kafumaniwa gesti.

11. Nyumbani housegirl hapumziki.

12. Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa mambo yake.

13. Anakera sana, siwezi kuacha kazi yangu hata kama anaumwa, kajikata kucha halafu anadai apelekwe Agha Khan au India.