June 9, 2018

Namna ya kumtambua mwanamke mwerevu (wise woman).

1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni" (mwanamke adimu sana)

2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi (jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi unajikuta unaenda kazini upo kwny daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"

3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha 2 hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?

4. Umejipumzisha kwny kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia maseji
Mgongoni, khaa alijuaje unataka Ufanyiwe masej? Unaishia kusema Thanks baby.

5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli (ni baraka kwny familia)

6. Anapenda ndugu zako (siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)

7. Anakutia moyo kwenye wakati mgumu, mf: umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha
tu, usijail utafanikiwa unaweza kushisimamia mradi wangu  mpk uajiriwe) khaa jamani yupo kama huyu?

8. Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha mtoto wako maadili ya kimungu (Wow! Sasa si heri tuzae tu na mtoto wa pili)

9. Anakufariji…Baby usiogope ni mapito ya dunia, jikaze mume wangu, nipo upande wako), heheeee
hata ukinuna unabembelezwa!

10. Mwenye kushukuru na suprises, hawezi kukusahau, (baby hii zawadi kwa ajili yako, umenisaidia sana mume wangu, you changed my life, "baby Leo birthday yako, khaa unaona keki mezani"), kuna mke kama huyo?

11. Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise, kumbe mwezi uliopita ulinipa toto, nina mimba yako (sio ooh! khaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)

NB. Mwanamke kama huyu ni blessing, kila jioni unaona toto zako zimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri miguu mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu hazifiki kwenye sakafu vinaangalia cartoons. Hehehe ni mtazamo tu.