June 10, 2018

Vitu 6 usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala

1. Usilale ukiwa umevaa saa. 
Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa saa mkononi.

2. Usilale umevaa sidiria (wanawake wanayovaa kwenye matiti ). 
Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3. Usilale na simu ikiwa karibu. 
Wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwa sababu mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4. Usilale ukiwa umeweka make - up (usoni)
Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.

5. Usilale umevaa nguo ya ndani.
Ili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, nguo ya ndani haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ….

6. Usilale na mke/mume wa mtu. 
Wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu hata kukuacha na maumivu baada ya kuharibiwa uso kwa makondo yasiyo na mpangilio, ni vizuri ukawa makini sana hapa! Ukibisha yakikukuta shauri yako!

Stay safe friends!
#LetLoveLead