August 10, 2018

Misingi 6 ya kuwa na furaha katika maisha

 1- Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.

2- Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.

3- Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.

4- Toa hata kama wewe umenyimwa.

5- Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.

6- Usiache kuwaombea wengine hata kama yako hayajajibiwa.