September 8, 2018

Download wimbo: Hajawai niangusha - Moji Shortbabaa, Guardian Angel.

Leo ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa Moji Shortbabaa akiwa na Guardian Angel pamoja na Dk kwenye Beat, wimbo unaitwa Hajawai niangusha.