September 12, 2018

Download wimbo: Karibu nawe - Mercy Victor.

Shalom mtu wa mungu nikukaribishe upate kudownload wimbo wangu huu kutazaman video hii ya wimbo wangu huu Karibu Nawe. Ni moja kati ya nyingi zilizo kwenye album yangu. Tazama na sambaza kwa wengine na mungu akubariki. - Mercy Victor.