September 15, 2018

Download wimbo: Kesho - Beatrice Kitauli ft Rose Muhando.

Leo ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa mwanadada Beatrice Kitauli akiwa na Rose Muhando, wimbo unaitwa Kesho.