September 2, 2018

Download wimbo: Kuna namna - Rogate Kalengo (There is a way)

Kuna namna lyrics(English & Swahili)
Kuna namna ambavyo Bwana anafanya vitu katika maisha yetu
(There  is way that the Lord does things in our lives)
Tunashindwa eleza, Ni kwa upendo wake.
(We cannot explain, its by his love)
Siku ya leo ungana pamoja nami katika wimbo huu
( join me today in this song)
Mwambie Bwana asante kwa yale mambo yote ambayo anafanya.
(Tell the Lord, Thank you for all those things that He is doing)
Haleluyah Haleluyah.
(Hallelujah, hallelujah)


Ni wako (Yesu)
(I'm yours(Jesus))
Mimi ni wako (Uuuh)
(I am yours (uuuh))
Ni wako, mimi ni wako.
(I'm yours, i am yours)

Sijui kwanini ulinipenda ukanifia.
( I don't know why you loved me, died for me)
Sijui kwanini ulinipenda ukanifia.
( I don't know why you loved me, died for me)


 (Salama) Salama yangu kwangu pendo lako.
(Its safe) ( my safety, to me is your love)
(Nikiwa na Neno lako) Nikiwa na Neno lako sioni tabu.
( when I'm with your word) ( when I'm with your word, I see no misery)
(Salama) Salama yangu kwangu pendo lako.
(Its safe) ( my safety, to me is your love)
(Nikiwa na Neno lako Bwana) Nikiwa na Neno lako sioni tabu.
( when I'm with your word) ( when I'm with your word, I see no misery)

(Salama yangu kwangu ni Neno lako) Salama yangu kwangu pendo lako
(Its safe) ( my safety, to me is your love)

(Neno lako ni taa ya miguu yangu Bwana) Nikiwa na Neno lako sioni tabu
(  your word is the light of my feet Lord) ( when I'm with your word, I see no misery)

(Ooh Ooh Ooh)
Salama yangu kwangu pendo lako
( my safety, to me is your love)

Nikiwa na Neno lako sioni tabu
 ( when I'm with your word, I see no misery)


Kuna namna waniwezesha
( there is a way you enable me)
Kuna namna waniinua.
(There is a way you raise me)
Kuna namna waniwezesha (Oh-Uuh)
(There is a way you enable me- Oh Uuh)
Kuna namna waniinua
(There is a way you enable me,)
KUNA NAMNA, KUNA NAMNA
(There  is a way, there is a way)
Naamini Bwana unafanya kitu juu ya maisha yangu leo
( I believe the Lord is doing something in your life today)
Kuna namna siwezi eleza Bwana ulivyonipenda msalabani
(There is a way that I can't explain the way u loved me on the cross Lord)
Ukafa kwaajili ya maisha yangu Bwana
( you died for my life Lord)
Ninasema asante, Ahsante Bwana
(I say thank you, thank you Lord)
Nakupa wewe heshima na adhama na nguvu, Haleluyah.
(I give you honor, glory and all power, hallelujah)

Ahsante (Ahsante)
(Thank you) (thank you)

Oooh yeah

Asante Bwana kwakuwa unanipenda Bwana
(Thank you Lord, because you love me Lord)
Ulikufa msalabani kwaajili ya maisha yangu Bwana
( you died on the cross for my life Lord)
Nami nasema asante Bwana
( and I'm saying thank you Lord)

Salama yangu kwangu pendo lako
( my safety, to me is your love)

Nikiwa na Neno lako sioni tabu
 ( when I'm with your word, I see no misery)


(Naamini Bwana kuna namna unafanya)
(I believe Lord, there is a way you do)
KUNA NAMNA, KUNA NAMNA
(There is a way, there is a way)

(Ungana pamoja nami hapo ulipo kaa)
(join me where you are now)
(Hebu sema haya maneno pamoja nami)
(Say these words together with me)
(Bwana anaenda kukuhudumia)
(The Lord will minister to you)
(Kuna namna anaenda kukuponya)
,(there is a way He is going to heal you)
(Kama una ugonjwa Mungu anakufungua)
(If you are sick, God is setting you free)
(Kama kuna shida katika maisha yako Bwana anafanya)
(If there is a problem in your life, the Lord is able to do)
(Kuna namna, Kuna namna)
(There is a way, there is a way)
(Haleluya)
(Hallelujah)
(Kuna Namna)
(There is a way)
(Oooh)
(Oooh)