September 12, 2018

Download wimbo: Sawa Sawa - keepitReaL Ft Amblessed.

Karibu tena, Leo ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa watoto wadogo keepitReaL akiwa na Amblessed, wakiimba katika miondoko ya rap, wimbo unaitwa Sawa Sawa.