September 9, 2018

Download wimbo: Sikuachi - Prisca Sanga ft Milton Mugisha.

Sikuachi ni wimbo ulioimbwa  na mwimbaji Prisca Sanga akiwa amemshirikisha Milton Mugisha, wote kutoka nchini Tanzania, Audio imerekodiwa na producers (DayDream & Milton Mugisha) katika studio za Over The Classic Music za Jijini Mwanza.