September 5, 2018

Download wimbo: Umenitosha - Benachi Ft Evelyn Wanjiru.

Leo ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo mpya wa kuabudu toka kwa Benachi akiwa na mwanadada Evelyn Wanjiru, wimbo unaitwa Umenitosha.