September 15, 2018

Download wimbo: Usisahau ulikotoka - Atosha Kissava.

Habari ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa mwanadada Atosha Kissava, wimbo unaitwa Usisahau ulikotoka.