September 9, 2018

Download wimbo: Wastahili sifa - Lilian Robinson.

Leo ni siku mpya tena nasi tumepata nafasi ya kukusogezea wimbo wa kuabudu toka kwa mwanadada Lilian Robinson, wimbo unaitwa Wastahili Sifa.